Manara asema Zahera aliomba kumrithi Masoud Simba

HPAUL

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2011
Posts
410
Reaction score
567
Haji Manara amechachamaa huko Mbeya, amewashukia vikali makocha wa Yanga na Mbeya City. Msikie mwenyewe kupitia link hii

Soka ni kazi yake Zahera kama kuna sehemu anahisi anaweza kulipwa zaidi ya pale alipo ana haki ya kuufukuzia mchongo.
 
Haji Manara amechachamaa huko Mbeya, amewashukia vikali makocha wa Yanga na Mbeya City. Msikie mwenyewe kupitia link hii

Nadhani uliyeleta uzi una ajenda ya siri dhidi ya Zahera....nimeisikiliza hiyo clip sijaona au kusikia Manara akisema kuwa Zahera aliomba kazi Simba....ila nimemsikia akisema yule kocha wa Mbeya City ndiye aliyekuwa ameomba hiyo kazi...
 
Kuna makosa heading, ilipaswa kusomeka Kocha Mbeya City aliomba kumrithi Masoud.
 
Nadhani uliyeleta uzi una ajenda ya siri dhidi ya Zahera....nimeisikiliza hiyo clip sijaona au kusikia Manara akisema kuwa Zahera aliomba kazi Simba....ila nimemsikia akisema yule kocha wa Mbeya City ndiye aliyekuwa ameomba hiyo kazi...
Nakiri nimekosea ni kocha wa Mbeya City ndiye aliyetajwa na Manara kuwa aliomba kazi Yanga, Naomba moderator badili kichwa cha habari kisomeke Kocha Mbeya City aliomba kumrithi Masoud.
 
Uwe unatumia akili na kutulia sio kupost kama unakimbizwa
 
Back
Top Bottom