Zee la Mandandu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,064
- 2,603
Nilikuwa nampigania mama yako. Pumbavu.Pole sana mkuu, ulikuwa unampigania msigwa awe mbunge au CHADEMA?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa nampigania mama yako. Pumbavu.Pole sana mkuu, ulikuwa unampigania msigwa awe mbunge au CHADEMA?
Kumbe genetic effect kwenye melanin inakwenda mpaka kweye kufikiriAkihojiwa na mtandao mmoja wa kijamii Haji Manara amesema alimsikia mwanasheria mmoja akilalamika kwamba watanzania ukiwaambia waandamane kupigania haki zao huwapati ila ukiwaambia washabikie Simba na Yanga hapo utawapata.
Kwa maoni yake bwana Manara ni kwamba kwa Tanzania mpira ni kila kitu na hilo ni jambo la kujivunia!!
Ni vyote hivyo ulivyo taja.Watanzania hata wakinyanganywa haki zao hawajui kama wameporwa haki zao so wanakushangaa ukiwambia wakadai hizo haki...
Sasa sijui ni elimu, ujinga au uoga
Hata kufuatilia mpira nayo ni haki ya kikatiba.Akihojiwa na mtandao mmoja wa kijamii Haji Manara amesema alimsikia mwanasheria mmoja akilalamika kwamba watanzania ukiwaambia waandamane kupigania haki zao huwapati ila ukiwaambia washabikie Simba na Yanga hapo utawapata.
Kwa maoni yake bwana Manara ni kwamba kwa Tanzania mpira ni kila kitu na hilo ni jambo la kujivunia!!
mpira wanashangilia vitu vyao wanavyovipenda,maandamano ni miradi ya watu wengineAkihojiwa na mtandao mmoja wa kijamii Haji Manara amesema alimsikia mwanasheria mmoja akilalamika kwamba watanzania ukiwaambia waandamane kupigania haki zao huwapati ila ukiwaambia washabikie Simba na Yanga hapo utawapata.
Kwa maoni yake bwana Manara ni kwamba kwa Tanzania mpira ni kila kitu na hilo ni jambo la kujivunia!!
Hivi unajua hata mpira ukijengwa kwenye siasa mbovu hautaendelea!?mpira wanashangilia vitu vyao wanavyovipenda,maandamano ni miradi ya watu wengine
Lakini si umeshapona? Hilo ndo la muhimu mkuu.Nilikuwa nampigania mama yako. Pumbavu.
Na wewe unaamini kwamba mpira ni ajenda kubwa nchini kuliko siasa? Mpira unaweza ukaamua ruzuku ya gharama za mafuta? Mpira unaweza ukaamua kodi na tozo mbalimbali? Mpira na siasa, kipi kinaweza kikatoa tamko moja tu la kukifuta chenzake?Na hata hapa utakuta kuna watu watampinga Manara kwa sababu tu aliihama timu yao
Kwa ulivyonielewa unaonaje!?Na wewe unaamini kwamba mpira ni ajenda kubwa nchini kuliko siasa? Mpira unaweza ukaamua ruzuku ya gharama za mafuta? Mpira unaweza ukaamua kodi na tozo mbalimbali? Mpira na siasa, kipi kinaweza kikatoa tamko moja tu la kukifuta chenzake?