Manara asitudanganye tena usiku wa leo amepata ajali

Manara asitudanganye tena usiku wa leo amepata ajali

Manara ni mmoja kati ya watu walowahi kujichanganya duniani
 
Kama ni ajali ya kweli iwe na picha, vinginevyo tukutane insta atueleze vizuri yule mganga wao wa Bagamoyo safari hii hawakumlipa pesa yake yote, au amesafiri.
Hata ile ya siku ya show ya Mama J ali fake ile ajali tu. Ila huyu kiumbe kaumbwa bila mshipa wa aibu
FB_IMG_1631647099990.jpg
 
Back
Top Bottom