Manara atangaza nia kuhamia Yanga

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,019
Reaction score
1,824
"Liverpool wakiwatoa Barcelona kwenye UEFA Champions League Msimu huu, Mimi Haji Manara nitaamia Yanga SC na Jezi yao nitavaa....Nitafanya kazi bure kwa kujitolea na Hela Nitachanga mwenyewe kwa sababu hakuna kitu kinachoniuzi kama Yanga," -Amesema Haji Sunday Manara
Maneno yake chini..

 
Hyo ni hulka ya watu wa sisiemu! Leo kusema hivi na kesho kuikana kauli yao!
Manara ni kada wa sisiem na ndo mwenye kumilki midomo ya wana mu simba zii! Kwahyo kuropoka ni jadi yake.
 
kiutani utani hivi Liverpool inaigomea Barca kama ilivyowahi kuitunishia msuli AC Milan...na kubeba kombe!!

'You'll Never Walk Alone'
 
Atajutia kuropoka kwake, anadhani Barcelona wanajipya gani kwa Liverpool. Mechi itakuwa 50/50.
 
Kwani lini alikuwa Simba?!!!....... Pale kafata ugali tu siku akiambiwa na Makonda ahamie Yanga ataiacha Simba muda huo huo!

Njaa mbaya!
 
Huyo manara hatumtaki mbumbumbu

Anatamani awe yanga alipochezea baba yake ila asilete kisinguzio cha liver kumfunga Barca
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…