Alafu wengine tunaanza kusahau kiswahili..Manara atoage na madongo ya kizungu tuelewe wote.Bodi ya Wakurugenzi wa klabu ya Simba imemteua Haji Manara kuwa msemaji rasmi wa klabu hiyo.
"Asanteni Sana Wanasimba wote hususan Bodi ya Wakurugenzi chini ya Mwenyekiti wetu Mohammed Dewji,lakini kubwa kwa CEO wetu mpya Mr Senzo kwa kuendelea kuniamini kufanya kazi katika Klabu hii kama Msemaji wao rasmi, Insha'Allah ntaendelea kufanya kazi hapa kwa spirit ile ile” ameandika Haji Manara mtandaoni.
Madaam, inakuwasha nini?Mbona hamsemi kuwa hatakuwa afisa habari. Ni mhamasishaji atakuwa chini ya Afisa habari atakaetangazwa soon.
Ikiuma chomoa..., ni wazi hapa umejijaza upepo kidude kikachomoka.Hapo sawa.
Kwahiyo msemaji ni mtu asiye na taaluma yeyote, kazi yake ni kuongeangea utumbo tu.
Mfano
"Mikia hii hata Man City au Barca wakija tutawafunga tu",
"Kikosi chetu ni cha bilioni 3".
"Mbumbumvu hii tusipofika robo fainali ya Club bingwa Africa Mnitupe mtoni niliwe na Mamba"
Dada wape taarifa huko dampo kuwa Haji bado yupo Simba.Mbona hamsemi kuwa hatakuwa afisa habari. Ni mhamasishaji atakuwa chini ya Afisa habari atakaetangazwa soon.
Watu Wa Yanga wana wivuAlikuwa anajiita Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Simba ilmradi tu afanane na Gerson Msigwa
Kurugenzi gani Ina mtu mmoja tu ambae ni yeye
Manara, kimwili yupo simba ila ki roho yupo yanga...
Msemaji au Afisa Habari?Bodi ya Wakurugenzi wa klabu ya Simba imemteua Haji Manara kuwa msemaji rasmi wa klabu hiyo.