njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Mkurugenzi wa idara ya habari ya mabingwa watarajiwa wa Afrika dar young africans anayetarajiwa kuchukua cheo hicho mwezi wa 7 ametikisa Bujumbura ikatikisika vilivyo
Bwana Manara ambaye ni msomi mwenye degree ya media toka south africa na ya politics from China awali ilikuwa agombee U RAIS ila baada ya kuchekecha na kuona kwamba media za makanjanja hazina shida hata mtu wa kutoka camp ya Gsm kugombea cheo hicho wakaona Injinia akichukue tu ingawa ingekuwa upande wa makolo pasingekalika huko ukanjanjani pangewaka moto mijadala tangu asubuhi hadi usiku kwa nini mtu wa Mo apate cheo hicho
Sasa Mkurugenzi huyo mtarajiwa wa idara ya habari wa kuanzia mwezi wa saba baada ya Bumbuli kutimuliwa leo katikisa social media za Bujumbura na Burundi kiujumla baada ya kufanikiwa kuuujaza uwanja wa taifa kwenye mechi ya Burundi vs cameroon , jukumu ambalo alipewa na nchi hiyo baada ya kuisaidia kwa miaka 4 simba kupata ubingwa wa nchi na robo fainali za kutosha Afrika kisha kibaabe kabisa akaipa ubingwa Yanga mwaka huu na anaenda kuipa ubingwa wa afrika.
Burundi kwa kifupi inalishukuru sana bobefu hilo la propaganda, lenye uweledi mkubwa wa kazi yake na lililo na ustaarabu wa hali ya juu kwa kazi iliyotukuka ya kuwavuta mashabiki kujaa uwanjani , hakika lina ushawishi mkubwa sana.