Huko daslam wanaume wanapata shida sana wanataka umaarufu hata kwa kuvuliwa nguo ....Ndio kina nani hao huko Daslamu?
Wengine tunaishi huku vijijini ndani ndani.
Mnajishughulisha sana na mambo ya watu.Haji Manara amejibu swali aliloulizwa kuhusu mkewe kuonekana na Ujauzito mkubwa mitandaoni na ilhali wamefunga ndoa wiki chache zilizopita.
Haji Manara amejibu,
"Wakati mwingine unatingisha kidogo unawapasha walimwengu ile ni picha ya zamani. Nilimwambia akatingishe kidogo ulimwengu. Hana ujauzito".
Ikumbukwe kuwa Manara amemuoa Zailyssa akiwa tayari ana mtoto, kwahyo ile video ina dhihirisha kuwa ni ya kipindi cha nyuma wakati Zailyssa ana ujauzito wa Mwanaume mwengine aliezaa nae.
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1 ✍️
njoo na wewe daslamuNdio kina nani hao huko Daslamu?
Wengine tunaishi huku vijijini ndani ndani.
Ngoja tuone mamlaka husika watasemaje aisee.Duh aisee sa itakuwajeee
Sidhani..Kama The ice breaker anawajua basi hata Mimi ntakuwa nawajua
Yaani inafikia hatua mpaka anakera. Ila albinism yake inambebaHivi Manara siku akiambiwa hanyi atawapeleka mawingu wamrekodi anavyokata gogo!?? Maana kila kitu yeye anataka ajibu tu ....
Mkuu comment basi daaah yaani kila siku ni duuh aisee🤣🙌🏻Duh aiseee