Manara atunukiwe Honorary Doctorate!

Manara atunukiwe Honorary Doctorate!

Huyu jamaa ana IQ kubwa kupita wengi katika sekta ya Michezo. Pamoja na kuwa hajasoma Sana Ila ni mtu aliyepaisha Moira wa Tanzania na Afrika nzima

Sasa kama ana iq kubwa kwa nini asiitumie kuhakikisha tunafikisha Moja ya timu zetu fainali za CAF ?
 
Huyu jamaa ana IQ kubwa kupita wengi katika sekta ya Michezo. Pamoja na kuwa hajasoma Sana Ila ni mtu aliyepaisha Moira wa Tanzania na Afrika nzima
Hata Mwigulu Nchemba ni Dr na anamiliki Tozo zote, timu ya mpira, kampuni ya mabasi (Esther) na ni mpigaji hodari wa kodi za wananchi , sasa huyo Bugatti kapuku mtukanaji anamiliki nini hadi aitwe Dr?

Huyu white bado sana kuitwa Dr maana njaa ndio inamsumbua na kumfanya awe mtu wa kubwabwaja tu ili mkono uende kinywani.
 
Back
Top Bottom