Manara atunukiwe Honorary Doctorate!

Manara atunukiwe Honorary Doctorate!

IQ kubwa!? Kundi la wajinga wanamuona mjinga mmoja ana IQ kubwa kuzidi wao[emoji23][emoji28]
 
Huyu jamaa ana IQ kubwa kupita wengi katika sekta ya Michezo. Pamoja na kuwa hajasoma Sana Ila ni mtu aliyepaisha Moira wa Tanzania na Afrika nzima

Unafananisha IQ na upumbavu kama Manara????? Si bora ungelinganisha IQ kubwa na vitu vya maana kama bia, k-vant, konyangi au bongo don
 
Watu wameweka hela ndio mpira umekua leo mpuuzi mmoja mropokaji eti apewe PhD amekuza mpira
 
Huyu jamaa ana IQ kubwa kupita wengi katika sekta ya Michezo. Pamoja na kuwa hajasoma Sana Ila ni mtu aliyepaisha Moira wa Tanzania na Afrika nzima
Unajua unathibitisha kuwa karia alikuwa sahihi kuwa mashabiki wa Yanga mna kinyesi?
 
Huyu jamaa ana IQ kubwa kupita wengi katika sekta ya Michezo. Pamoja na kuwa hajasoma Sana Ila ni mtu aliyepaisha Moira wa Tanzania na Afrika nzima
Mpeni tu maana Honoraria za kiafrika hata mwizi wa simu anaweza kupewa bila shida.
 
Back
Top Bottom