Tairi bovu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2017
- 3,063
- 2,985
umevimbiwa na shibe, unawaita mashabiki mpururo wale wa buku 7000/= unasahau kuwa wale ndio huwa wanajaza uwanja? ni dharau na kiburi kilichopitiliza
waombe radhi
waombe radhi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yeye anakupenda?Hakuna Mtu Simpendi Kama Haji Manara. Huyu Jamaa Namchukia Sana
Kqda mwenzako huyo,alikuwa Mwenezi wa CCM wa Dar kabla hajaanza kufanya udalali wa utapeli wa magariHakuna Mtu Simpendi Kama Haji Manara. Huyu Jamaa Namchukia Sana
Mpururo kwa kikwetu ni MbumbumbuKutukanwa watukanwe simba ,akasirike MTU wa Yanga
Chukulia poa tu mzee! Haina haja ya kukuza kila kitu kwa sababu zako binafsi.umevimbiwa na shibe, unawaita mashabiki mpururo wale wa buku 7000/= unasahau kuwa wale ndio huwa wanajaza uwanja? ni dharau na kiburi kilichopitiliza
waombe radhi
Wivu!Hakuna Mtu Simpendi Kama Haji Manara. Huyu Jamaa Namchukia Sana
Jamaa jizi utadhani li MasaiKqda mwenzako huyo,alikuwa Mwenezi wa CCM wa Dar kabla hajaanza kufanya udalali wa utapeli wa magari
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kuna MTU anateseka