Huyu si ni demu wa gsm?Hivi kwa mfano ndio ingekuwa kweli shida ni nini?
Hivi Wabongo nani katuroga? Kutwa kuhangaika na maisha ya Watu!!
Mlitegemea Mayele afanye tangazo na Anna kwapa Nene au Shani Nyamichupi?
Mnajisikiaje baada ya kupata ukweli? Kuku nyie !!
@mayelefiston @ireneuwoya8
@gsmmall @maxfashion_tz @gsmtanzania.
View attachment 2439588
Nyinyi siku zote ni wazito kuelewa! Hakuna ubishi katika hili. Na ndiyo maana hata mwenyekiti wenu wa zamani kipindi kile alidiriki kuwaita mbumbumbu!Sijaelewa kitu hapo
Muulize manara bado msimamo wake upo palepale au ametengua kauli?Nyinyi siku zote ni wazito kuelewa! Hakuna ubishi katika hili. Na ndiyo maana hata mwenyekiti wenu wa zamani kipindi kile alidiriki kuwaita mbumbumbu!
Maana alijitahidi kuwaelewesha weeh kwenye ule mkutano!! Mkawa hamuelewi chochote. Yaani ilikuwa kama anawapigia mbuzi [emoji238][emoji238][emoji238] gitaa! [emoji450]