Manara awatolea povu mashabiki wa mpira kuhusu picha ya Mayele na Uwoya

Manara awatolea povu mashabiki wa mpira kuhusu picha ya Mayele na Uwoya

Hivi kwa mfano ndio ingekuwa kweli shida ni nini?

Hivi Wabongo nani katuroga? Kutwa kuhangaika na maisha ya Watu!!

Mlitegemea Mayele afanye tangazo na Anna kwapa Nene au Shani Nyamichupi?

Mnajisikiaje baada ya kupata ukweli? Kuku nyie !!

@mayelefiston @ireneuwoya8

@gsmmall @maxfashion_tz @gsmtanzania.

View attachment 2439588
Huyu si ni demu wa gsm?
Au nini kimetokea? JamiiForums mobile app
 
Sijaelewa kitu hapo
Nyinyi siku zote ni wazito kuelewa! Hakuna ubishi katika hili. Na ndiyo maana hata mwenyekiti wenu wa zamani kipindi kile alidiriki kuwaita mbumbumbu!

Maana alijitahidi kuwaelewesha weeh kwenye ule mkutano!! Mkawa hamuelewi chochote. Yaani ilikuwa kama anawapigia mbuzi 🐐🐐🐐 gitaa! 🎸
 
Nyinyi siku zote ni wazito kuelewa! Hakuna ubishi katika hili. Na ndiyo maana hata mwenyekiti wenu wa zamani kipindi kile alidiriki kuwaita mbumbumbu!

Maana alijitahidi kuwaelewesha weeh kwenye ule mkutano!! Mkawa hamuelewi chochote. Yaani ilikuwa kama anawapigia mbuzi [emoji238][emoji238][emoji238] gitaa! [emoji450]
Muulize manara bado msimamo wake upo palepale au ametengua kauli?

Maana alisema UTO wote ni mapunguani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom