Manara azomewa baada ya Kikutwa Chooni anawacheka Yanga

Manara azomewa baada ya Kikutwa Chooni anawacheka Yanga

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,254
Reaction score
5,161
Hii ilitokea baada ya mwanayanga mmoja kuingia ghafla chooni na kumsikia Manara akicheka. Alipomuuliza Manara alikataa kuwa hakuwa akiicheka yanga. Ila alikuwa anawacheka simba kwa kutoa draw kule Morocco.

Aisee
Screenshot_20210830-081325_Gallery.jpg
 
Wanakwambia ile ni mechi tu ya kirafiki atuwezi kuumia nafsi,swali linakuja,"kwanini mlishangilia Makambo alipofunga goli?
Kama mlipofunga mlishangilia ndo hivyohivyo mkifungwa mtaumia nafsi.
"uwezi kuukimbia ukweli abadan"
 
Eti walioshangilia ni mamluki wa Simba,walivaa jezi za Yanga wakaingia uwanjani kuwahujumu
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom