Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Siyo utani kamera zilimnasa magoli yote ya zanaco yalipoingia alikuwa anakimbilia chooni ila hilo la kucheka sina hakikaMods peleka hii jukwaa la utani kuweni serious kidogo na maisha
Utani gani na amecheka kweliMods peleka hii jukwaa la utani kuweni serious kidogo na maisha
Mods peleka hii jukwaa la utani kuweni serious kidogo na maisha
Eti walioshangilia ni mamluki wa Simba,walivaa jezi za Yanga wakaingia uwanjani kuwahujumuWanakwambia ile ni mechi tu ya kirafiki atuwezi kuumia nafsi,swali linakuja,"kwanini mlishangilia Makambo alipofunga goli?
Kama mlipofunga mlishangilia ndo hivyohivyo mkifungwa mtaumia nafsi.
"uwezi kuukimbia ukweli abadan"
[emoji23][emoji23]Mimi kapumbu tuu alinikoshaa