- Thread starter
- #21
Shangaa na wewe sasa ! Akibanagwa mbavu alili na kudai hivyoLakini huwa akitaitiwa anasema anasemwa kwa sababu yeye ni albino
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shangaa na wewe sasa ! Akibanagwa mbavu alili na kudai hivyoLakini huwa akitaitiwa anasema anasemwa kwa sababu yeye ni albino
Lete ushahidiYeye anawanyanyapaa wenxake wanapomuomba msaada
Kwasababu hiyo ndo mnataka awe anaomba misaada?Lakini huwa akitaitiwa anasema anasemwa kwa sababu yeye ni albino
Najua😀Ila una akiliii☺️
Vipi upo salama☺️Najua😀
Hapa hatujazungumzia mambo ya msaada, hapa tunazungumzua ustawi wa jamii kutambua makundi hayo maalum, kama ambavyo yeye anavyoliaga kwamba ananyanyaswa kisa albino!Kwasababu hiyo ndo mnataka awe anaomba misaada?
Msaada wa nini ? Na je kutoa msaada ni lazima..., Binafsi nikimwoma alibino juani na hana miwani au kofia naweza kumpa hivyo (kama ninavyo) sababu najua jua linamuumiza..., Au nikiona watu wananyanyasa yoyote yule nitakemea awe Albino, Kichaa, Rais, Mbunge au mtu yoyote..., mfano ni Jukumu la Serikali na wadau wote kuelemisha wale wapuuzi wanaodhani viungo vya hawa watu vina Nguvu...Yeye anawanyanyapaa wenxake wanapomuomba msaada
Ualibino sio ulemavu mkubwa tuseme ukweli ni kujiendekeza tuHapa hatujazungumzia mambo ya msaada, hapa tunazungumzua ustawi wa jamii kutambua makundi hayo maalum, kama ambavyo yeye anavyoliaga kwamba ananyanyaswa kisa albino!
Alitakiwa ashiriki matamasha katika kutoa elimu
Okeee, basi amewasikiaHapa hatujazungumzia mambo ya msaada, hapa tunazungumzua ustawi wa jamii kutambua makundi hayo maalum, kama ambavyo yeye anavyoliaga kwamba ananyanyaswa kisa albino!
Alitakiwa ashiriki matamasha katika kutoa elimu
Salama kabisa mkuu, hofu kwakoVipi upo salama☺️
Nipo salama. NakuonaSalama kabisa mkuu, hofu kwako
Unaniona wapi?😀Nipo salama. Nakuona
JF Mkuu, kwani umehisi nini?Unaniona wapi?😀
Mkuu kwani ni lazima aende huko? Maisha ni kuchagua, hayuko interested na hiyo field. Kuchagua maisha yake. AheshimiweSiyo kwa nia mbaya !
Katika kuboresha na hamasa kwa walemavu hufanyika matamasha mbalimbali kila mwaka!
Viongozi na watu mashuhuli wamekuwa ni mchango mkubwa kufikisha ujumbe kwa jamii!
Haji manara huwa hataki kabisa kushirikishwa kwenye jambo ili awe msemaji wa walemavu wanao omba msaada wake kama influencer!
Kwa kupambana kwake, kutokuwa duni na kwenda ana kwa ana kwa yoyote ndio elimu yenyewe..., Yaani hilo ni fundisha tosha kabisa kwa kila mtu.., ni kama Yellow Man alivyokuwa anatubariki kwa Miziki yake..., na alijulikana kwa miziki yake na sio hali yake...., hata yule mdada mwenye sauti nyororo..., nadhani wote tungekuwa na that spirit tungekuwa mbali sana...Hapa hatujazungumzia mambo ya msaada, hapa tunazungumzua ustawi wa jamii kutambua makundi hayo maalum, kama ambavyo yeye anavyoliaga kwamba ananyanyaswa kisa albino!
Alitakiwa ashiriki matamasha katika kutoa elimu
Nimewaza kama weweHaitaji msaada.
Napenda jinsi ambavyo anajikubali na hali yake hajioni kama ni mlemavu.
Hapana yeye anaweza asiwe na shida kwa sababu kajipata lakini kuna wengine wanahitaji msaada, yeye haombi msaada afaidike, ni anawasemea watu kama yeye, huenda yeye anatumia mafuta ya ngozi ya laki 1 huko, je albino wa maisha haya pangu pakavu, kipato chake elfu 7 kwa siku na tena juani anaweza kumudu hiyo?Hataki kufanya ulemavu wake kama fursa