DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Mgombea wa Udiwani wa Kata ya Kariakoo kupitia CCM, Haji Sande Manara, amesema kuwa hakuna mtu atakayetoka kuandamana kama baadhi wanavyodai kwenye mitandao ya kijamii.
Amesema ameshuhudia majaribio (demonstrations) ya Jeshi la Polisi likiwa limejipanga kwa nguvu kubwa, likitumia farasi wapatao 3,000 ambao walitembea kutoka Leaders Club hadi Bibi Titi.
“Wanaoandika mtandaoni nawahakikishia, hatatoka mtu kuandamana. Polisi wamejipanga, wana farasi elfu tatu na mbwa elfu kumi hatoki mtu,” amesema Haji Manara.
Pia Soma: Haji Manara anashikiliwa na Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam