Manara hata kama ni UKUWADI ,Huu umezidi! Na ni dharau kwa Policcm,Hii mikwara itafanya kazi sababu sisi watz ni waoga
Kwanza siamini kama serikali wana mbwa elfu 10, sitaki kuamini, yote 9 hata wangekuwepo, ila wajue mfano wamgetoka raia milioni ti ndani askari na mbwa wao jumlisha bunduki wasingefua dafu
Sasa hao farasi ni wanang'ata ama 😂😂
Farasi kweli ni kitu cha kumtishia mtu kweli!? 😂😂
Kumbe kuwa zeluzelu niMgombea wa Udiwani wa Kata ya Kariakoo kupitia CCM, Haji Sande Manara, amesema kuwa hakuna mtu atakayetoka kuandamana kama baadhi wanavyodai kwenye mitandao ya kijamii.
Amesema ameshuhudia majaribio (demonstrations) ya Jeshi la Polisi likiwa limejipanga kwa nguvu kubwa, likitumia farasi wapatao 3,000 ambao walitembea kutoka Leaders Club hadi Bibi Titi.
“Wanaoandika mtandaoni nawahakikishia, hatatoka mtu kuandamana. Polisi wamejipanga, wana farasi elfu tatu na mbwa elfu kumi hatoki mtu,” amesema Haji Manara.
Pia Soma: Haji Manara anashikiliwa na Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam
Ni mwendo wa kujitoa akili kuwafurahisha watawalaManara hata kama ni UKUWADI ,Huu umezidi! Na ni dharau kwa Policcm,
ina maana idadi ya mbwa 3000 inazidi idadi ya askari waliopo Dar takribani 900(pamoja na walioongezwa juzi) tu!?