Manara hi si sawa!

Manara hi si sawa!

namparu

Member
Joined
Jul 6, 2014
Posts
38
Reaction score
15
[HASHTAG]#HajiManara[/HASHTAG] hi si sawa.

2mekuwa 2kisema mara nyingi kwamba simba imekua mbovu kwa miongo mingi sasa. Na daima imekua ikijificha ktk kivuli cha akina Malinzi&Mwesiga, Tenga na hadi kipindi kile cha Ndolanga kua ni wanazi wa Yanga na hivyo kuhitaji huruma kutoka kwa wa2 wa mpira kwa kuwasema hao wa2 vibaya.

Msimu ulioisha simba walistahili kuondoshwa mapema na Polosi ktk ASF lkn akina Malinzi kwa kuogopa domo la [HASHTAG]#Manara[/HASHTAG] wakaiacha simba isonge mbele kwa dhuluma.
Ukizoea vya kunyonga vya kuchinja huviwezi, Mungu c Manara bana,
TFF imekuja mpya huku kuanzia M/kiti hadi mfagizi wakiwa simba, kama hiyo haitoshi Bodi ya Simba(I mean bodi ya ligi) bado iko chini Michael Simba Wambura. Jana wanapokea kichapo cha mbwa mwizi huku msako uliofanyika ukiwa wa kiwango cha lami.

[HASHTAG]#Kituko[/HASHTAG]: Mitandao ya kijamii leo inamkariri Manara kua ataitisha press huku akiwa na TV ya inchi 750 [emoji15] kuonyesha vile Simba ilidhulumiwa hapo Jana bila kujali ule msako waliofanyiwa.

[HASHTAG]#Swali[/HASHTAG]: Huruma itaendelea?
[HASHTAG]#Simba[/HASHTAG] mbovu kwa miongo mingi sasa.
IMG_20171223_090710.png
 
Napingana na mleta mada. Simba ya sasa hivi sio mbovu kwa kiasi hicho ila inaongozwa na watu wasiojua mpira. Simba sasa hivi imekamilika kuanzia kipa , beki zote mpaka katikati kwenye midfield na wings zote ziko vizuri. Simba inachokosa ni washambuliaji wa kati. Lakini kwa kuwa ina ongozwa na viongozi wasiojua mpira wao wamekimbilia kusajili tena beki. Tuliwapigia sana kelele wamtoe Luizio kwa mkopo kwa sababu tangu atoke kwenye majeruhi hajapata muda mrefu wa kucheza ili kurudisha kiwango chake. Pia ilitakiwa wawauze Mavugo na Gyan kwa sababu wameshindwa kabisa kuendana na ligi ya bongo. Baada ya hapo walitajkiwa walete mshambuliaji mmoja kutoka nje na wawili wangewasjili kutoka ligi ya ndani halafu wawalipe hata robo tatu ya pesa wanayowalipa wachezaji wa nje halafu wangeona muziki wake.
 
[HASHTAG]#HajiManara[/HASHTAG] hi si sawa.

2mekuwa 2kisema mara nyingi kwamba simba imekua mbovu kwa miongo mingi sasa. Na daima imekua ikijificha ktk kivuli cha akina Malinzi&Mwesiga, Tenga na hadi kipindi kile cha Ndolanga kua ni wanazi wa Yanga na hivyo kuhitaji huruma kutoka kwa wa2 wa mpira kwa kuwasema hao wa2 vibaya.

Msimu ulioisha simba walistahili kuondoshwa mapema na Polosi ktk ASF lkn akina Malinzi kwa kuogopa domo la [HASHTAG]#Manara[/HASHTAG] wakaiacha simba isonge mbele kwa dhuluma.
Ukizoea vya kunyonga vya kuchinja huviwezi, Mungu c Manara bana,
TFF imekuja mpya huku kuanzia M/kiti hadi mfagizi wakiwa simba, kama hiyo haitoshi Bodi ya Simba(I mean bodi ya ligi) bado iko chini Michael Simba Wambura. Jana wanapokea kichapo cha mbwa mwizi huku msako uliofanyika ukiwa wa kiwango cha lami.

[HASHTAG]#Kituko[/HASHTAG]: Mitandao ya kijamii leo inamkariri Manara kua ataitisha press huku akiwa na TV ya inchi 750 [emoji15] kuonyesha vile Simba ilidhulumiwa hapo Jana bila kujali ule msako waliofanyiwa.

[HASHTAG]#Swali[/HASHTAG]: Huruma itaendelea?
[HASHTAG]#Simba[/HASHTAG] mbovu kwa miongo mingi sasa.
View attachment 657447
Hashtag hashtag
 
Back
Top Bottom