namparu
Member
- Jul 6, 2014
- 38
- 15
[HASHTAG]#HajiManara[/HASHTAG] hi si sawa.
2mekuwa 2kisema mara nyingi kwamba simba imekua mbovu kwa miongo mingi sasa. Na daima imekua ikijificha ktk kivuli cha akina Malinzi&Mwesiga, Tenga na hadi kipindi kile cha Ndolanga kua ni wanazi wa Yanga na hivyo kuhitaji huruma kutoka kwa wa2 wa mpira kwa kuwasema hao wa2 vibaya.
Msimu ulioisha simba walistahili kuondoshwa mapema na Polosi ktk ASF lkn akina Malinzi kwa kuogopa domo la [HASHTAG]#Manara[/HASHTAG] wakaiacha simba isonge mbele kwa dhuluma.
Ukizoea vya kunyonga vya kuchinja huviwezi, Mungu c Manara bana,
TFF imekuja mpya huku kuanzia M/kiti hadi mfagizi wakiwa simba, kama hiyo haitoshi Bodi ya Simba(I mean bodi ya ligi) bado iko chini Michael Simba Wambura. Jana wanapokea kichapo cha mbwa mwizi huku msako uliofanyika ukiwa wa kiwango cha lami.
[HASHTAG]#Kituko[/HASHTAG]: Mitandao ya kijamii leo inamkariri Manara kua ataitisha press huku akiwa na TV ya inchi 750 [emoji15] kuonyesha vile Simba ilidhulumiwa hapo Jana bila kujali ule msako waliofanyiwa.
[HASHTAG]#Swali[/HASHTAG]: Huruma itaendelea?
[HASHTAG]#Simba[/HASHTAG] mbovu kwa miongo mingi sasa.