D TEN akiwa kwenye kipaza sauti huwa anaongea mambo ya maana na ambayo yanaihusu #DAR YOUNG AFRICAN lakini HAJJI ni lazima tu ataitaja na yangaTatizo mnamfatilia sana Hajji kuliko D.Ten
Umewahi kumzuia Zahera asiitaje Simba?D TEN akiwa kwenye kipaza sauti huwa anaongea mambo ya maana na ambayo yanaihusu #DAR YOUNG AFRICAN lakini HAJJI ni lazima tu ataitaja na yanga
Lipuli 1 yanga chura sc 0Kila la heri AS VITA CLUB
HAJI MANARA ANATAPATAPA... ila kipigo kipo pale pale
Sent using Jamii Forums mobile app from my iPhone 5s
Lipuli 1 yanga chura sc 0Huyu jamaa hajielewi na mashabiki wa simba wanaomsaport
1.wewe boss wako ni Samba Zahera boss wake ni Yanga shughulika na Habari za Simba
2.Kutokusafiri na timu Iringa hilo halikuhusu.
3.Unaposema aache una maana gani na ww kama nani kwenye soka
Shughulika na simba yako Yanga haikuhusu nimegundua kumbe ndiyo maana ulifungiwa jieshimu brother tuachie kocha wetu wala hujachangia chochote kuja kwake huna maaana kabisa
Umekutana na kisiki Zahera kashakujibu kuwa ww ni............... Jibu mapigo
Sasa kwanini mnamfatilia haji Sana jibu kisomi bhanaD TEN akiwa kwenye kipaza sauti huwa anaongea mambo ya maana na ambayo yanaihusu #DAR YOUNG AFRICAN lakini HAJJI ni lazima tu ataitaja na yanga
Huyu si mwanamichezo ila ni mwanasiasa.Huyu jamaa hajielewi na mashabiki wa simba wanaomsaport