Hivi wewe unategemea washabiki wa Simba & Yanga watakuja kukaa kiti kimoja?? Ikiwa timu za waarabu kabisa weupe so weusi wanakuja kucheza taifa Yanga wanashangilia na kuomba simba afungwe halafu ww una ndoto watakaa kiti kimoja?? Tutashirikiana kwenye kuzika tuHaji manara simba na Wenye soka Hili wawe makini la sivyo soka lita kwenda kuwa la vurugu..na ndivyo anavyo fanya manara..anatumia vibaya nafasi yake..
Tusipo angalia mashabiki wa simba na Yanga watakuwa hawakai kiti kimoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app