Manara huna mamlaka ya kumpangia kazi Zahera

Manara huna mamlaka ya kumpangia kazi Zahera

Haji manara simba na Wenye soka Hili wawe makini la sivyo soka lita kwenda kuwa la vurugu..na ndivyo anavyo fanya manara..anatumia vibaya nafasi yake..

Tusipo angalia mashabiki wa simba na Yanga watakuwa hawakai kiti kimoja

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wewe unategemea washabiki wa Simba & Yanga watakuja kukaa kiti kimoja?? Ikiwa timu za waarabu kabisa weupe so weusi wanakuja kucheza taifa Yanga wanashangilia na kuomba simba afungwe halafu ww una ndoto watakaa kiti kimoja?? Tutashirikiana kwenye kuzika tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kwanini mnamfatilia haji Sana jibu kisomi bhana

~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
kati ya yanga na haji nani anamfatilie mwenzake?
 
Back
Top Bottom