Atumie pesa zake mwenyeweBwana haji manara sawa kuoa ni haki yako ya kidini lakini isiwe geuze kuwa chazo cha mapato kwa kulenga michango utakayopewa na ndg na jamaa haiwezekani wewe ni kuoa kuacha kuoa kuacha unachezea watoto wa watu ukiwalingishia ndoa, sasa tumeshakujua tabia yako unataka tukuchangie hulambi tushakushitukua mzee baba, mazezeta watakuchangia ili mfanye michezo yenu michafu
Punguza makasiriko Dulla makabila.
Kitambo tu deal done imebaki show off za mtandaoni tu wale wahuni tu[emoji16][emoji16][emoji16]
Duu mujini mipango.Kitambo tu deal done imebaki show off za mtandaoni tu wale wahuni tu[emoji16][emoji16][emoji16]
Wait and seePunguza makasiriko Dulla makabila.
Washagawana ile ya michangoKitambo tu deal done imebaki show off za mtandaoni tu wale wahuni tu[emoji16][emoji16][emoji16]
Nyie CDM ni waongo waongo Sana. Hivi huyo GSM hiyo 500M ya kuchangia harusi ya Manara tu anaitoa wapi? Yaani Mfanyabiashara atoe tu 500M kwa ajili ya harusi ya mtu bila kupata kitu? Hata Mbowe pamoja na kula pesa za bure za Ruzuku hawezi changia Harusi ya Lema au Lissu kiasi hiko. Hapo umetudanganya na kuongeza Figure kwenye huo mfano wako japo ni kweli Manara anafanya hivyo ili apate michango.Mujini kuzuri , unatangaza ndoa GSM anakuchabgia milion 500