Manara, huo mchezo wako tumeushitukia

Manara, huo mchezo wako tumeushitukia

GOLD BOY

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2023
Posts
387
Reaction score
490
Bwana haji Manara sawa kuoa ni haki yako ya kidini lakini isiwe geuze kuwa chanzo cha mapato kwa kulenga michango utakayopewa na ndugu na jamaa.

Haiwezekani wewe ni kuoa kuacha kuoa kuacha unachezea watoto wa watu ukiwalingishia ndoa, sasa tumeshakujua tabia yako, unataka tukuchangie hulambi tushakushitukua mzee baba, mazezeta watakuchangia ili mfanye michezo yenu michafu.
 
Bwana haji manara sawa kuoa ni haki yako ya kidini lakini isiwe geuze kuwa chazo cha mapato kwa kulenga michango utakayopewa na ndg na jamaa haiwezekani wewe ni kuoa kuacha kuoa kuacha unachezea watoto wa watu ukiwalingishia ndoa, sasa tumeshakujua tabia yako unataka tukuchangie hulambi tushakushitukua mzee baba, mazezeta watakuchangia ili mfanye michezo yenu michafu
Atumie pesa zake mwenyewe
 
Mzungu tapeli anahonga sana kabla hajakuweka ndani utasema mume si ndo huyu ingia ndani sasa hata buku TU kwa mahesabu,kwake kuoa na kuacha ni baishara anatumia dini vibaya
 
Mujini kuzuri , unatangaza ndoa GSM anakuchabgia milion 500
Nyie CDM ni waongo waongo Sana. Hivi huyo GSM hiyo 500M ya kuchangia harusi ya Manara tu anaitoa wapi? Yaani Mfanyabiashara atoe tu 500M kwa ajili ya harusi ya mtu bila kupata kitu? Hata Mbowe pamoja na kula pesa za bure za Ruzuku hawezi changia Harusi ya Lema au Lissu kiasi hiko. Hapo umetudanganya na kuongeza Figure kwenye huo mfano wako japo ni kweli Manara anafanya hivyo ili apate michango.
 
Back
Top Bottom