Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Mke wangu siku moja aliniambia kuna biashara nataka tufanye mimi na wewe kwa kushirikiana, nikakataa kwa kuwa biashara yenyewe ilipaswa iajiri watu wengine kama thelathini hivi.
Nikamwambia mimi nitakuunga mkono lakini hiyo iwe yako wewe mwenyewe na mimi nisihusike nayo.
Unajua why? Huwa naogopa mapenzi kuchanganya na biashara au kazi na nishaona madhara yake sehemu kadhaa.
Good luck mke wangu alinielewa na nawaomba ndugu zangu msichanganye kazi na mapenzi hata siku moja na wakati mwingine kuna nafuu kwa Mkeo kuliko Hawara au kimada.
WALLAH MTAHARIBIKIWA, don’t do that.