Manara: Huwa naogopa mapenzi kuchanganya na biashara au kazi na nishaona madhara yake sehemu kadhaa

Manara: Huwa naogopa mapenzi kuchanganya na biashara au kazi na nishaona madhara yake sehemu kadhaa

Manara hichi ndicho kilichomponza mswahili, mnafiki, mfitini, mwanamke kuliko wanawake wenyewe...shubamiti!

Mashabiki wa simba wame move on, alikuwa analilia kuondoka simba kishaondoka, watu tume move on, life goes on, aendelee na maisha mapya.

Alishatakiwa kila la heri na fanaka aendako. Kumbe sitaki nataka, king'ang'anizi.

Everyday is Saturday............................. 😎

Sijui nani alimdanganya kuwa Mashabiki wa Simba watampigania yeye badala ya kuwa upande wa Uongozi.

Nadhani yeye wakati anasema anaondoka alikuwa anabeep,kawakuta kina Hanspope simu ziko standby,wakampigia pale pale.Hiyo shock aliyoipata ndiyo inamtesa hadi sasa,yuko kwa stage ya Denial.
 
Yeye aliamini kwamba Simba ni yeye sasa hivi spoon wary watamsahau.. anahitaji msaada

Wenye kumpenda wanapaswa kumsaidia,hata hao wafadhili wake wenyewe wanajua kabisa jamaa anastruggle na Depression na nadhani hofu yake ni kutojua what is next kwenye maisha yake ukizingatia hao walikuwa wanamtumia kupitia mgongo wa Simba.Ule msemo wa “acha kazi uwajue Marafiki zako wa kweli” muda si mrefu utajidhihirisha kwake.
 
Hapo anataka mbishane ili akimbilie kwenye kivuli cha ulemavu wa ngozi.......kufukuzwa kazi kunauma nyie

Pata picha sasa hivi mbwembwe za usajili kwa page yake ingekuwa heka heka,lkn hana cha kufanya anaishia kupost “Aldo Shoes” na kujiona kanunua designer Shoes[emoji3][emoji3]
 
Wenye kumpenda wanapaswa kumsaidia,hata hao wafadhili wake wenyewe wanajua kabisa jamaa anastruggle na Depression na nadhani hofu yake ni kutojua what is next kwenye maisha yake ukizingatia hao walikuwa wanamtumia kupitia mgongo wa Simba.Ule msemo wa “acha kazi uwajue Marafiki zako wa kweli” muda si mrefu utajidhihirisha kwake.
Huo msemo umeanza kumtafuna.
Atavaa dera mwaka huu, kwa depression asipojiangalia.
Walikuwepo watu na wakaondoka na tukawasahau. Hatuwakumbuki hata sura.
Ajue yeye akili ya kawaida hajawahi kuwa akili kubwa.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Back
Top Bottom