Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Manara hichi ndicho kilichomponza mswahili, mnafiki, mfitini, mwanamke kuliko wanawake wenyewe...shubamiti!
Mashabiki wa simba wame move on, alikuwa analilia kuondoka simba kishaondoka, watu tume move on, life goes on, aendelee na maisha mapya.
Alishatakiwa kila la heri na fanaka aendako. Kumbe sitaki nataka, king'ang'anizi.
Everyday is Saturday............................. 😎
Sijui nani alimdanganya kuwa Mashabiki wa Simba watampigania yeye badala ya kuwa upande wa Uongozi.
Nadhani yeye wakati anasema anaondoka alikuwa anabeep,kawakuta kina Hanspope simu ziko standby,wakampigia pale pale.Hiyo shock aliyoipata ndiyo inamtesa hadi sasa,yuko kwa stage ya Denial.