Watanzania nguvu hii hii ya kupenda Kujadili mambo ya Kipuuzi, Kiumbea na Kibinafsi tungekuwa tunaihamishia katika Kujadili Vitu vya maana nina uhakika Kimaendeleo tungekuwa tumeshapiga hatua kama si sana basi zaidi.Mke wangu siku moja aliniambia kuna biashara nataka tufanye mimi na wewe kwa kushirikiana, nikakataa kwa kuwa biashara yenyewe ilipaswa iajiri watu wengine kama thelathini hivi.
Manara bila simba ni sawa na mamba nje ya maji.Dongo Kwa Mwamedi jamaa bado anamaumivu ya kukosa kazi
Kama kwako wasema umbea siye kwetu twapenda mambo haya ambayo tunayaishiWatanzania nguvu hii hii ya kupenda Kujadili mambo ya Kipuuzi, Kiumbea na Kibinafsi tungekuwa tunaihamishia katika Kujadili Vitu vya maana nina uhakika Kimaendeleo tungekuwa tumeshapiga hatua kama si sana basi zaidi.
Halafu hapohapo Manara amekataa kuajiriwa na mke wake, laiti angekubali mke wake angemlipa mshahara wa milioni.Kwahyo mwamedi anamkula babla au! Babla analipwa million 360 kwa mwaka sawa na millioni 30 kwa mwezi manara alikuwa analipwa laki 7
Atakayemwajiri huyu jamaa kazi anayoMke wangu siku moja aliniambia kuna biashara nataka tufanye mimi na wewe kwa kushirikiana, nikakataa kwa kuwa biashara yenyewe ilipaswa iajiri watu wengine kama thelathini hivi.
Nikamwambia mimi ntakuunga mkono lakini hiyo iwe yako wewe mwenyewe na mimi nisihusike nayo.
Unajua why? Huwa naogopa mapenzi kuchanganya na biashara au kazi na nishaona madhara yake sehemu kadhaa.
Good luck mke wangu alinielewa na nawaomba ndugu zangu msichanganye kazi na mapenzi hata siku moja na wakati mwingine kuna nafuu kwa Mkeo kuliko Hawara au kimada.
WALLAH MTAHARIBIKIWA, don’t do that.
Tuanzie na maendeleo yako, mtu ambaye unapenda kujadili mambo ya msingi tuWatanzania nguvu hii hii ya kupenda Kujadili mambo ya Kipuuzi, Kiumbea na Kibinafsi tungekuwa tunaihamishia katika Kujadili Vitu vya maana nina uhakika Kimaendeleo tungekuwa tumeshapiga hatua kama si sana basi zaidi.