Manara: Kama Simba SC akimfunga Dodoma basi niitwe Ashura cheupe

Washabiki wa Yanga walio wengu humu jukwaani muda wote wanamtetea Manara kwa kila upuuzi anayofanya hata kama unawadhalilisha wenyewe na club yao,. Na hapa ndiyo ile kauli ya Luc Eymael kuwa washabiki na wanachama wa Yanga wote ni nyani wanachojua ni kuzomeazomea,ni mbwakoko wanachoweza ni kubwekabweka na ni uneducated inathibitika.
 
Unamkumbuka kocha Emil?. Kuwaita nyan hakukosea. Mi jibwa ya kubwekabweka
 
Kumbe jina la Ashura Cheupe lilianzia huku..Basi na mm kuanzia leo nalibariki jina hilo kinywani mwangu. Ashuraaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…