Manara: Kama uhuni huu wamefanya, tumesema Hatuchezi

Manara: Kama uhuni huu wamefanya, tumesema Hatuchezi

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
7,385
Reaction score
10,659
Haji Manara: Hawajatoa mpaka sasa hivi certicates one hour kabla ya mechi. Hawajatuambia nani yuko positive nani yuko negative. Wanatuletea sasa hivi eti kuna wachezaji sita wako positive, Diara katumiwa email yuko negative. Tumesema hatuchezi, kama uhuni huu walioufanya, hatuchezi.

==========

Hii ni baada ya wachezaji tegemewa kukutwa na Corona. Nini Impact ya kugoma?

Screenshot_20210919-174440.jpg

View attachment 1945027
 
Taarifa ya kugomea mechi iko wap kwenye uzi wako?
 
Wanafikiri CAF ni tiieeefuuuefuu
 
Back
Top Bottom