Manara: Kama uhuni huu wamefanya, tumesema Hatuchezi

Na watakaa huko karantin kwa siku 14 kwaiyo Kariakoo Darby hawatakuepo.
 
Nadhani Kugoma FC mnalipwa hapahapa
 
Hahaha wao aalivokua mabondia hapa walifikiri wanigeria ni mafara sasa wamapigilia kwenye mwiko pale pale [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Utopolo wameshashikwa kinyenyeo... Bahati nzuri mchezo waliuanza wenyewe 😁😁
 
Mpaka hapo sie Rivers united tumeshavuka kwenda next round.
Kwenda next level sio kwa kutumia kiwango kikubwa cha figisu. Hata hao CAF wanaangalia utaratibu. Yanga wana point kubwa tu kwamba kwanini majibu yatoke muda mchache kabla ya mechi kuanza? Na kwanini majibu hayo hawataki kuwapa Yanga certificate ili wajionee? Na kwanini majibu ya Diarra yatoke ya aina mbili tofauti?
 
Kiuhalisia mechi iliisha hapa Tz wiki moja iliyopita na Yanga kutolewa, Yanga wamekwenda Nigeria kukamilisha tu ratiba, nothing can be changed.
Yanga kwa sasa watulie, wajipange kwa next year ikiwa watafuzu mapema.
 
Sijawai kuona ujinga Kama huu waliofanya rivars Kama huu wa Leo, unapofanya figisu basi uifanye kwa kutumia akili na sio kukurupuka kijingajinga,,unatoa majibu ya covid dk 45 kabla ya mechi husika alafu bado akuna certificate ya majibu ya covid kama mtu yuko positive au negative ni uhuni wa hali ya juu,,,yaani wanaambiwa fulani na Fulani anayo covid imeisha!!!!

Sasa tunaingiza timu uwanjani na wachezaji wote wanacheza kwa maana atujapewa kithibitisho chochote kinachoonyesha wachezaji wamepatikana na corona ambacho ni certificate, kazi inaendelea
 
Game utonwameamua isiwe tabu..wametia timu uwanjani

Kwa sheria za CAF ukisusia game ndo umeaga mashindano.
 
D
Hii ni baada ya wachezaji tegemewa kukutwa na Corona. Nini Impact ya kugoma? View attachment 1945015
View attachment 1945027


Updates: Yanga wamekubali kuingiza timu uwanjani. Manara anasema wakapigane vita uwanjani!
Hawa hawazijui fitina yaani wachezaji washafanya warm up, washachanyika then wanasema wachezaji wana Corona na tayari washa jichanganya na wenzao.

Kweli hii Africa kikwetu kwetu
 

mvi mmesahau mliwapiga fimbo za kichwa walipokuja hapa
 
Mpira umeanza Rivers United vs Yanga.

Mechi kamishna Sulley Camara kutoka Sierra Leone amewaruhusu Yanga wacheze wote kwa kuwa hakuna cheti kuhalalisha kuwa wamekutwa na corona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…