kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Sijawai kuona ujinga Kama huu waliofanya rivars Kama huu wa Leo, unapofanya figisu basi uifanye kwa kutumia akili na sio kukurupuka kijingajinga,,unatoa majibu ya covid dk 45 kabla ya mechi husika alafu bado akuna certificate ya majibu ya covid kama mtu yuko positive au negative ni uhuni wa hali ya juu,,,yaani wanaambiwa fulani na Fulani anayo covid imeisha!!!! Sasa tunaingiza timu uwanjani na wachezaji wote wanacheza kwa maana atujapewa kithibitisho chochote kinachoonyesha wachezaji wamepatikana na corona ambacho ni certificate, kazi inaendelea
Huu ni upumbavu afu maofisa wa Caf au madaktari wa Timu kwa nini wasiwe wanahusishwa?Kweli Afrka mpira hautaendelea, hizi ni fitina za wazi kabisa.
Unaweza kunitajia kiongozi wa Yanga au mchezaji wa Yanga aliyeshiriki kuwapiga hao watu fimbo?mvi mmesahau mliwapiga fimbo za kichwa walipokuja hapa
Kwa nini Azam hawarushi mechi? Unaangalia kutumia king'amuzi gani?Mpira umeanza Rivers United vs Yanga.
Mechi kamishna Sulley Camara kutoka Sierra Leone amewaruhusu Yanga wacheze wote kwa kuwa hakuna cheti kuhalalisha kuwa wamekutwa na corona.
Unaweza kunitajia kiongozi wa Yanga au mchezaji wa Yanga aliyeshiriki kuwapiga hao watu fimbo?
Hata wakihusishwa, kama una corona status haitabadilikaHuu ni upumbavu afu maofisa wa Caf au madaktari wa Timu kwa nini wasiwe wanahusishwa?
Mkuu wewe upo Tandale unasema mnaingiza timu😁😁😁😁Sijawai kuona ujinga Kama huu waliofanya rivars Kama huu wa Leo, unapofanya figisu basi uifanye kwa kutumia akili na sio kukurupuka kijingajinga,,unatoa majibu ya covid dk 45 kabla ya mechi husika alafu bado akuna certificate ya majibu ya covid kama mtu yuko positive au negative ni uhuni wa hali ya juu,,,yaani wanaambiwa fulani na Fulani anayo covid imeisha!!!! Sasa tunaingiza timu uwanjani na wachezaji wote wanacheza kwa maana atujapewa kithibitisho chochote kinachoonyesha wachezaji wamepatikana na corona ambacho ni certificate, kazi inaendelea
Jino kwa jinoHuu upumbavu Afrika utaisha lini? Lakini na nyie si mlizuia wachezaji wao kwamba Wana Covid?
Mabingwa wa kupulizia vyumba dawaWacha wafu wazikane
Tupo Taifa na Mabingwa
Rivers walicheza kwa spirit ya juu na moyo wote baada ya kufanyiwa figisu. Labda wasingecheza vizuri namna ile kama wasingefanyiwa zile figisu.SASA HAWAKUWATENDEA WEMA NA WAMECHEZEA JE WANGEWATENDEA HUO WEMA HALI INGEKUAJE.
Just updates za mtandaoniKwa nini Azam hawarushi mechi? Unaangalia kutumia king'amuzi gani?
Haya ni matokeo ya sera mbovu za dikteta kuhusu covid, tujilaumu wenyeweHaji Manara: Hawajatoa mpaka sasa hivi certicates one hour kabla ya mechi. Hawajatuambia nani yuko positive nani yuko negative. Wanatuletea sasa hivi eti kuna wachezaji sita wako positive, Diara katumiwa email yuko negative. Tumesema hatuchezi, kama uhuni huu walioufanya, hatuchezi.
==========
Hii ni baada ya wachezaji tegemewa kukutwa na Corona. Nini Impact ya kugoma?
View attachment 1945015
View attachment 1945027
Wote wamecheza na wamefungwa. Hamna kisingizioHaji Manara: Hawajatoa mpaka sasa hivi certicates one hour kabla ya mechi. Hawajatuambia nani yuko positive nani yuko negative. Wanatuletea sasa hivi eti kuna wachezaji sita wako positive, Diara katumiwa email yuko negative. Tumesema hatuchezi, kama uhuni huu walioufanya, hatuchezi.
==========
Hii ni baada ya wachezaji tegemewa kukutwa na Corona. Nini Impact ya kugoma?
View attachment 1945015
View attachment 1945027