Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Msemaji wa Simba, Haji Manara amesema mpaka sasa wameshachukua ubingwa bila kufungwa na lengo lililobaki kesho ni kumaliza ligi bila kufungwa mbele ya Kagera Sugar
-Amedai japo kwenye mpira lolote linawezekana lakini wao wanataka kuweka rekodi wakati wakiutwaa ubingwa walioukosa kwa miaka mitano
- Kuhusu Rais kuhudhuria, amesema lazima kuwe na mwanzo na kama amekubali mechi ya Simba pia ipo siku ataenda kwenye mechi watani kwani ni Rais wa watanzania wote