Manara: Lengo ni kumaliza ligi bila kufungwa, asema Rais kuhudhuria ni mwanzo kwa wengine

Manara: Lengo ni kumaliza ligi bila kufungwa, asema Rais kuhudhuria ni mwanzo kwa wengine

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887



Msemaji wa Simba, Haji Manara amesema mpaka sasa wameshachukua ubingwa bila kufungwa na lengo lililobaki kesho ni kumaliza ligi bila kufungwa mbele ya Kagera Sugar

-Amedai japo kwenye mpira lolote linawezekana lakini wao wanataka kuweka rekodi wakati wakiutwaa ubingwa walioukosa kwa miaka mitano

- Kuhusu Rais kuhudhuria, amesema lazima kuwe na mwanzo na kama amekubali mechi ya Simba pia ipo siku ataenda kwenye mechi watani kwani ni Rais wa watanzania wote
 
Back
Top Bottom