Manara: Mimi bado msemaji halali wa simba japo siwezi kukalia hiki kiti milele

Manara: Mimi bado msemaji halali wa simba japo siwezi kukalia hiki kiti milele

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
4,805
Reaction score
17,850
BAADA ya maneno mengi kusambaa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo mbalimbali vya habari kuwa Klabu ya Simba imemwajiri ofisa habari mpya kubeba jukumu hilo la Haji Manara, hatimaye msemaji huyo ameamua kufunguka kuhusu hatima yake.

IMG_20190821_063751.jpeg
 
Back
Top Bottom