BAADA ya maneno mengi kusambaa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo mbalimbali vya habari kuwa Klabu ya Simba imemwajiri ofisa habari mpya kubeba jukumu hilo la Haji Manara, hatimaye msemaji huyo ameamua kufunguka kuhusu hatima yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.