Kingsmann JF-Expert Member Joined Oct 4, 2018 Posts 4,805 Reaction score 17,850 Aug 21, 2019 #1 BAADA ya maneno mengi kusambaa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo mbalimbali vya habari kuwa Klabu ya Simba imemwajiri ofisa habari mpya kubeba jukumu hilo la Haji Manara, hatimaye msemaji huyo ameamua kufunguka kuhusu hatima yake.
BAADA ya maneno mengi kusambaa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo mbalimbali vya habari kuwa Klabu ya Simba imemwajiri ofisa habari mpya kubeba jukumu hilo la Haji Manara, hatimaye msemaji huyo ameamua kufunguka kuhusu hatima yake.