M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Labda PSV ya Kisemvule.1. Mheshimiwa Haji Manara amepata shavu la usemaji wa klabu ya PSV Eindhoven.
2. Mipango ikikamilika yeye pamoja na familia watatimkia huko ng'ambo tayari kwa kazi.
hiyo klabu inachezea cha ndimu1. Mheshimiwa Haji Manara amepata shavu la usemaji wa klabu ya PSV Eindhoven.
2. Mipango ya vibali vya kazi na viza vikikamilika yeye pamoja na familia watatimkia huko ng'ambo tayari kwa kazi. ya usemaji.
Hongera sana Haji, Hongera Zailisa
Yeye mwenyewe anavyoiita kwa mbwembe eti 'Kaswaida'😀😀Labda akawe mascot wa timu.
Wamvalishe li nyago awe anaimba kaswida yake mpya aliyoitoa kuhamasisha timu.
View attachment 3269495