M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
1. Mheshimiwa Haji Manara amepata shavu la usemaji wa klabu ya PSV Eindhoven.
2. Mipango ya vibali vya kazi na viza vikikamilika yeye pamoja na familia watatimkia huko ng'ambo tayari kwa kazi. ya usemaji.
Hongera sana Haji, Hongera Zailisa
2. Mipango ya vibali vya kazi na viza vikikamilika yeye pamoja na familia watatimkia huko ng'ambo tayari kwa kazi. ya usemaji.
Hongera sana Haji, Hongera Zailisa