Manara na mwanachama wa Simba damu

Manara na mwanachama wa Simba damu

curie

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2020
Posts
699
Reaction score
1,600
IMG_0100.jpg
 
Tayari Wamemchoka Yaani Gharib Said Mohammed Kazi Anayo
Mbona Watu Wana Hasira Naye Wangemtimua Hata Asubuhi
Ijulikane Wazi Wazi
 
Simba mchukueni msemaji wenu bhana! Tumeshamfunda kama tulivyo mfunda Ajibu. Hivyo msiwe na wasiwasi juu ya ile tabia yake mbovu ya wakati ule! ya kutunishiana msuli na ile chombo ya fundi mkuu.
 
Back
Top Bottom