Manara na Ruby Fresh ndoa chaliiii

Huko sawa kabisa mkuu, hapo ninayemfahamu ni Manara tu, kitambo kidogo akiwa katibu wa itikadi na uenezi CCM mkoa wa DSM
Jina lingine maarufu alikua anatumia ni gani..??🤔
 
Kila laheri Haji...
 
Ndoa za kiislam ni maigizo tu.
Ndio maana mabinti wa kiislam wengi hawataki kuolewa mitala wala kuolewa na waislam wenzao.

Waliniambia Msomali mmoja.
Ndoa zisizo na maigizo ni ya mke mmoja na michepuko kila mji sio? Eti mnaogopa msizikwe na kanisa. Kina dada gani hao Waislam wasiotaka kuolewa na Waislam wenzao? Na hao msomali mmoja ni kina nani mpaka kauli yao iwe na uzito wowote?
 
Kuna waislam kindaki ndaki hawapendi hii kitu ya kuolewa mitala..
Fanya utafiti kabla hujapinga.
 
Kuna waislam kindaki ndaki hawapendi hii kitu ya kuolewa mitala..
Fanya utafiti kabla hujapinga.
Kwahiyo huyo msomali nae ni Muislam kindaki ndaki? Unaelewa maana ya Muislam kindaki ndaki? Au unaongea tu vitu usivyovielewa. Unamuita muislam "kindaki ndaki" halafu wakati huo huo hapendi ndoa ya mitaala. Huoni kuwa unaongea visivyoeleweka. Halafu mitaala ipo katika karibu jamii zote za binadamu. Uislam ndio umekuja kulimit idadi. Kwanini mnaulaumu Uislam kwa kuwepo ndoa ya mitaala?
 
Kwa Hali hii wakristoturuhusiwe kuoa ata wake 2 tu itatusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…