Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fsla tu lileShehe Mwaipopo anasemaje
Jina lingine maarufu alikua anatumia ni gani..??🤔Huko sawa kabisa mkuu, hapo ninayemfahamu ni Manara tu, kitambo kidogo akiwa katibu wa itikadi na uenezi CCM mkoa wa DSM
Na wewe uliachika kwa talaka 3?Ndoa za kiislam ni maigizo tu.
Ndio maana mabinti wa kiislam wengi hawataki kuolewa mitala wala kuolewa na waislam wenzao.
Waliniambia Msomali mmoja.
Kila laheri Haji...Kaahh..hata kama ni talaka ruhusa kidini ila Haji ni too much ...mweeee...
Story za mitandaoni Haji na kashampiga talaka Tatu bi Ruby aka mama Ghalib talaka taaatu shwaaa....bila marudio ka eda itaisha...!!
Yaani Haji Kwa Sasa apewe tuzo kama kina dida za talaka,haiwezekani wao Kila Mwaka Wanaoa na kuachika mwee...hata kama mapungufu ya wenza wao Kwa hili hapana
Haji ana kitu atafika nacho mbaali mnooo..
Mwaka juzi alioa shemeji WA Aweso,akamuacha,Mwaka Jana kaoa ruby ,akaoa Tena rushayna (akachambwa dada WA watu akaonekana alifata umaarufu Kwa haji)na Rubina Ndo alikua anamtetea mmewe balaaa na yeye amejifungua TU Ndoa imemshinda kaachika,kikanuni za kibinadamu ni ngumu Sana kukuta mwanaume ameoa na kuacha mara nyingi na ikiwa hvyo baasi me ana shida
Ruby anauza zake shisha tabataaaa.....
Ila Kwa Wadada Wa bongo utashangaa mwingine next week nae aenda olewa na haji huyo huyo hvyooo!!!hajiulize wenziwe watano wameshindwa ye atajifanya konki ataolewa...
Ila wanaume Wa Dar mna kitu mtafuka mbaali!
Mkuu huku mkoani Tulimjua kwa jina hilo tu, ingawa wengine walikuwa wakimwJina lingine maarufu alikua anatumia ni gani..??🤔
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Shehe Mwaipopo anasemaje
Ndoa zisizo na maigizo ni ya mke mmoja na michepuko kila mji sio? Eti mnaogopa msizikwe na kanisa. Kina dada gani hao Waislam wasiotaka kuolewa na Waislam wenzao? Na hao msomali mmoja ni kina nani mpaka kauli yao iwe na uzito wowote?Ndoa za kiislam ni maigizo tu.
Ndio maana mabinti wa kiislam wengi hawataki kuolewa mitala wala kuolewa na waislam wenzao.
Waliniambia Msomali mmoja.
Kuna waislam kindaki ndaki hawapendi hii kitu ya kuolewa mitala..Ndoa zisizo na maigizo ni ya mke mmoja na michepuko kila mji sio? Eti mnaogopa msizikwe na kanisa. Kina dada gani hao Waislam wasiotaka kuolewa na Waislam wenzao? Na hao msomali mmoja ni kina nani mpaka kauli yao iwe na uzito wowote?
Kwahiyo huyo msomali nae ni Muislam kindaki ndaki? Unaelewa maana ya Muislam kindaki ndaki? Au unaongea tu vitu usivyovielewa. Unamuita muislam "kindaki ndaki" halafu wakati huo huo hapendi ndoa ya mitaala. Huoni kuwa unaongea visivyoeleweka. Halafu mitaala ipo katika karibu jamii zote za binadamu. Uislam ndio umekuja kulimit idadi. Kwanini mnaulaumu Uislam kwa kuwepo ndoa ya mitaala?Kuna waislam kindaki ndaki hawapendi hii kitu ya kuolewa mitala..
Fanya utafiti kabla hujapinga.