Manara na Ruby Fresh ndoa chaliiii


kwahiyo muislam aliyeiva kidini anapenda mitala[emoji28][emoji28][emoji28].

endelea kukua ndugu yangu bado hujui mengi.
hajj ni kielelezo cha namna ndoa ilivyo takatifu,haina urahisi wa aina yoyote kama watu wanavyojaribu kuuchonga.

akikushinda mke mmoja hata 9 huwawezi na hawatakueletea amani unayoitafuta.
 
Nishawahi sikia habari mbaya kumuhusu, huenda ni kweli
 
Cha msingi wawe wanapimana. Au ndo kusema wana grupu O? (Sayansi ya mtaa)
 
Huyu mwana lunyasi mwenzetu komesha kabisa, muda sio mrefu tutasikia kamuoa zaylisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…