Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu kwanza ana gubu Lile la kizaramo na kimanyema hasaaa,halafu kingine kwao ye ndo Masha Allah na anawapenda nduguze mnoo baasi Ndugu wote wasemaji Wa ndoa Yao,plus ulevi na akilewa hachagui neno la kusema na kudhalilish Wanawake pia na umalaya anao piaNdio maana wanamuita mchicha mwiba, ukiona mwanaume hatulii na mke mmoja ujue kuna kitu kinamuwasha anatafuta wa kumkuna.
🤣🤣🤣Samahani mkuu, hao kwani walishiriki miss kinondoni mwaka gani huko daslam...🤔
Hawagawani mali?Kaahh..hata kama ni talaka ruhusa kidini ila Haji ni too much ...mweeee...
Story za mitandaoni Haji na kashampiga talaka Tatu bi Ruby aka mama Ghalib talaka taaatu shwaaa....bila marudio ka eda itaisha...!!
Yaani Haji Kwa Sasa apewe tuzo kama kina dida za talaka,haiwezekani wao Kila Mwaka Wanaoa na kuachika mwee...hata kama mapungufu ya wenza wao Kwa hili hapana
Haji ana kitu atafika nacho mbaali mnooo..
Mwaka juzi alioa shemeji WA Aweso,akamuacha,Mwaka Jana kaoa ruby ,akaoa Tena rushayna (akachambwa dada WA watu akaonekana alifata umaarufu Kwa haji)na Rubina Ndo alikua anamtetea mmewe balaaa na yeye amejifungua TU Ndoa imemshinda kaachika,kikanuni za kibinadamu ni ngumu Sana kukuta mwanaume ameoa na kuacha mara nyingi na ikiwa hvyo baasi me ana shida
Ruby anauza zake shisha tabataaaa.....
Ila Kwa Wadada Wa bongo utashangaa mwingine next week nae aenda olewa na haji huyo huyo hvyooo!!!hajiulize wenziwe watano wameshindwa ye atajifanya konki ataolewa...
Ila wanaume Wa Dar mna kitu mtafuka mbaali!
Jina lingine maarufu nigani..🙄 Ili nione kama naweza wakumbuka...🤔2002
Akili kubwa huongelea maendeleo.Kaahh..hata kama ni talaka ruhusa kidini ila Haji ni too much ...mweeee...
Story za mitandaoni Haji na kashampiga talaka Tatu bi Ruby aka mama Ghalib talaka taaatu shwaaa....bila marudio ka eda itaisha...!!
Yaani Haji Kwa Sasa apewe tuzo kama kina dida za talaka,haiwezekani wao Kila Mwaka Wanaoa na kuachika mwee...hata kama mapungufu ya wenza wao Kwa hili hapana
Haji ana kitu atafika nacho mbaali mnooo..
Mwaka juzi alioa shemeji WA Aweso,akamuacha,Mwaka Jana kaoa ruby ,akaoa Tena rushayna (akachambwa dada WA watu akaonekana alifata umaarufu Kwa haji)na Rubina Ndo alikua anamtetea mmewe balaaa na yeye amejifungua TU Ndoa imemshinda kaachika,kikanuni za kibinadamu ni ngumu Sana kukuta mwanaume ameoa na kuacha mara nyingi na ikiwa hvyo baasi me ana shida
Ruby anauza zake shisha tabataaaa.....
Ila Kwa Wadada Wa bongo utashangaa mwingine next week nae aenda olewa na haji huyo huyo hvyooo!!!hajiulize wenziwe watano wameshindwa ye atajifanya konki ataolewa...
Ila wanaume Wa Dar mna kitu mtafuka mbaali!
Ndoa sio ya kila mtu.Msemaji anaongea sana buana, ha kuishi na mke sio shughuli ndogo😂😂😂