Manara: Simba, mkataba wenu mmedanganywa

Manara: Simba, mkataba wenu mmedanganywa

UONGO [emoji23][emoji23]

Ila viongozi wa hii timu ni janja janja sana aisee khaa.

Oky.. Tulijua tu haya lazima yatatokea.. Waambieni ukweli mashabiki zenu acheni Porojo.. MO kaweka hisa Bilion 20 miaka yote.. Leo hii mdhamini aje aweke Bilion 26..

Ulisikia wapi Mdhamini ana zidi thamani ya klabu..

Enyi Wafuasi wa MFALME ZUMARADI.. Amkeni. Mnadanganywa hadharani. Timu yenu inaendeshwa kihuni.

Yapo ya kuwadanganya lakini sio hilo.. Mtatapeliwa sana mpaka mtakapo kuwa na akili za kujitambua.
Kuwaongoza BAMBUKICHA ni rahisi sana kwa kuwa wengi wao hawana akili, akili walizo nazo ni zile za kujua choo kiko wapi. Aisee?

𝘕𝘪 𝘩𝘢𝘺𝘰 𝘵𝘶..

Tuliosoma Cuba tumeona ......wengine wanaonyesha bango lenye pesa....wengine wanaonyesha jezi iliyoandikwa pesa[emoji23][emoji23][emoji23] ( ma gap)

Ndugu zangu makolo weñzangu tumepigwaView attachment 2311640
Huyu si kafungiwa kujihusisha na soka?
 
Back
Top Bottom