Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo maneno nimemnukuu mzee Magoma.Kivip mkuu
Haji na Kamwe haziivi Kuna fukutu limejificha chichini soon litalipuka , dalili zake zimeanza kuonekana toka Kitambo.Mahabiki wa Gongowazi hilo ndio waliloliokota katika yote.
Hiyo inamaanisha kuwa ili uweze kuteka akili za shabiki wa Gongowazi first off first we iponde Simba.
Press ya Manara imekuja kwa lengo la kumpora Mic 🎤 Ally Kamwe na kuna kitu kingine mtakuja kukisikia mbeleni huko.
Ikitokea kwenye sherehe yenu Gongowazi mmejaa kwa wingi kwa Mkapa hata kama sababu imetokana na sajili mpya kama ya Chama ila credit atajipa Manara kuwa yeye ndio kasababisha kutokana na kukubalika kwake.
Wale hawawezi kuhudumu ofisi moja abadani.Haji na Kamwe haziivi Kuna fukutu limejificha chichini soon litalipuka , dalili zake zimeanza kuonekana toka Kitambo.
AaahaaaVp mnamuogopa???[emoji23]
Ni mbwe mbwe tu mkuuWale hawawezi kuhudumu ofisi moja abadani.
Angalia tu ile siku tuwafunge 2-0, Manara alikuja kudhihaki promosheni ya Ally Kamwe kana kwamba ndio sababu zilizopelekea Yanga kufungwa.
Alisema wapunguze Polimilai kwasababu hawakupaswa kumdharau mpinzani.
Kitu ambacho amekuwa akikifanya yeye miaka yote.
Mcheki Mzee MagomaKivip mkuu
Nimejisikia tu mkuuKulikua na haja gan ya kusema albino