Manara tangu akiwa Simba nilikuwa ninauona unafiki wake

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
2,971
Reaction score
6,607
Hata alipokosana na Simba na kuondoka sikushangaa hata kidogo. Nikajisemea tu kuwa hata huko Yanga anapokwenda hataweza kudumu.

Manara anapenda sifa na umaarufu. Lakini kibaya zaidi ni Mnafiki sana. Hata Saikolojia inatuelekeza kuwa mtu mwenye maneno mengi mdomoni mara nyingi NI MNAFIKI.

Naitahadharisha Simba msije mkaingia kwenye mtego wa Manara. Ninaamini Manara anataka kurudi Simba na ili afanikiwe ni lazima afanye kama alivyofanya wakati anakwenda Yanga, YAANI KUIPONDA CLUB ULIYOPO
 
Arudi tu kwenye timu yake ya zamani.
Na uzuri mwenyekiti wa mashabiki wote wastaarabu nchini, mama mchungaji Dr. Kalpana mwakibete, ameahidi kuwakusanya mashabiki wote nchini, na kwenda kumkaribisha tena kwenye lile jengo lao pale Kariakoo.
 
Daah eti dr..kalpana mwakibete...😇😇😇🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kaeni na lopolopo lenu sisi tulimfukuza..nyie hamna huo uwezo wa kumfukuza kwa sbb mnaamini ubingwa kaushikilia yeye...akili za washirikina hizi...😅😅😅😅
 
Hiyo ndiyo lifestyle yake tokea akiwa ccm pia majungumajungu tu

Ova
 
Daah eti dr..kalpana mwakibete...😇😇😇🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kaeni na lopolopo lenu sisi tulimfukuza..nyie hamna huo uwezo wa kumfukuza kwa sbb mnaamini ubingwa kaushikilia yeye...akili za washirikina hizi...😅😅😅😅
Lopolopo😀😀😀😀......Hapo umenena.Hata mimi namwitaga hivyo.
 
Hata alipokosana na Simba na kuondoka sikushangaa hata kidogo. Nikajisemea tu kuwa hata huko Yanga anapokwenda hataweza kudumu.

Manara anapenda sifa na umaarufu. Lakini kibaya zaidi ni Mnafiki sana. Hata Saikolojia inatuelekeza kuwa mtu mwenye maneno mengi mdomoni mara nyingi NI MNAFIKI.

Naitahadharisha Simba msije mkaingia kwenye mtego wa Manara. Ninaamini Manara anataka kurudi Simba na ili afanikiwe ni lazima afanye kama alivyofanya wakati anakwenda Yanga, YAANI KUIPONDA CLUB ULIYOPO
Manara ana watu wakubwa nyuma yake ndio maana hamuogopi mtu yoyote alibishana mpaka na mchegerwa akagombana na karia yule manara simba na yanga ana kazi maalum mwenzake Jerry muro alifanya kazi ya chama vizuri akalamba ukuu wa wilaya kiufupi manara anajua anachokifanya ndio maana ana dharau kibri majivuno na jeuri.
 
Daah eti dr..kalpana mwakibete...😇😇😇🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kaeni na lopolopo lenu sisi tulimfukuza..nyie hamna huo uwezo wa kumfukuza kwa sbb mnaamini ubingwa kaushikilia yeye...akili za washirikina hizi...😅😅😅😅
Kumbe sope kule nyumamwiko ni ndagu ndiyo maana wanamvumilia
 
Yanga walijitahid sana kukaa na huyu mtu maana walimbeba kama mtoto wao wa kumzaa
 
.
 
Attachments

  • FB_IMG_1731236302603.jpg
    FB_IMG_1731236302603.jpg
    65.1 KB · Views: 4
  • FB_IMG_1731233039659.jpg
    FB_IMG_1731233039659.jpg
    30.6 KB · Views: 4
Back
Top Bottom