Daah eti dr..kalpana mwakibete...ππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Lopolopoππππ......Hapo umenena.Hata mimi namwitaga hivyo.Daah eti dr..kalpana mwakibete...ππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Kaeni na lopolopo lenu sisi tulimfukuza..nyie hamna huo uwezo wa kumfukuza kwa sbb mnaamini ubingwa kaushikilia yeye...akili za washirikina hizi...π π π π
Manara ana watu wakubwa nyuma yake ndio maana hamuogopi mtu yoyote alibishana mpaka na mchegerwa akagombana na karia yule manara simba na yanga ana kazi maalum mwenzake Jerry muro alifanya kazi ya chama vizuri akalamba ukuu wa wilaya kiufupi manara anajua anachokifanya ndio maana ana dharau kibri majivuno na jeuri.Hata alipokosana na Simba na kuondoka sikushangaa hata kidogo. Nikajisemea tu kuwa hata huko Yanga anapokwenda hataweza kudumu.
Manara anapenda sifa na umaarufu. Lakini kibaya zaidi ni Mnafiki sana. Hata Saikolojia inatuelekeza kuwa mtu mwenye maneno mengi mdomoni mara nyingi NI MNAFIKI.
Naitahadharisha Simba msije mkaingia kwenye mtego wa Manara. Ninaamini Manara anataka kurudi Simba na ili afanikiwe ni lazima afanye kama alivyofanya wakati anakwenda Yanga, YAANI KUIPONDA CLUB ULIYOPO
Kumbe sope kule nyumamwiko ni ndagu ndiyo maana wanamvumiliaDaah eti dr..kalpana mwakibete...ππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Kaeni na lopolopo lenu sisi tulimfukuza..nyie hamna huo uwezo wa kumfukuza kwa sbb mnaamini ubingwa kaushikilia yeye...akili za washirikina hizi...π π π π