Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulitakiwa tumjibu hoja yake,Sababu zipo nyingi sana sheikh
Ukiona hivo ujuwe anayeongelewa ana historical profile mbovu kwa wengine
Tulitakiwa tumjibu hoja yake,
Kwenye hili sijaona kosa la Manara. Ila Kitenge angekua ana uhakika wa habari angeithibitisha ili tumuone Manara ni mbwatukaji tu. Sasa kitenge badala ya kuthibitisha anaenda kumu attack Manara kua anajikomba kwa mabosi ndo anavyoishi mjini.
Ndio maaana Manara naye akataja mambo yake binafsi.
Kuna post umesema anahusianisha. Siwezi kuhusianisha kwa kusema adolay ana ugomvi na Payrol ndio maana adolay hajamjuisha kwenye kikosi. Kwanza ilivyo kaa sio tetesi, pili je, kweli hao watu wana ugomvi?
Haina mana kua hawawezi kugombana, wao hawajawai kusema kua Gomezi ana ugomvi na Morrison wala hata kitenge ameshindwa kuleta ushahidi. Sasa nani mwenye hoja kati ya Marana na Kitenge.
Tusimhukumu mtu kwa hisia tuangalie hoja.
Kwani hizo tetesi zina shida gani?
Soma hapo ndo mzozo ulipoanzia
Huyo Manara na wote wanaomsapoti katika hili ni binaadamu wajinga zaidi kuwahi kutokea katika ulimwengu wa sokaUnaweza uweza ukaa ujui au una akili kabsa, Tofautisha tetesi na habari. Siwezi kusema Fasiliteta amekunya adhalani afu nikasema ilikua tetesi. Ulishawahi ona tetesi inasema Morrison hajasafiri kisa kagombana na Kocha wake? Afu unakuja kusema ni tetesi.
Manara kawashida akili wengi sana. Manara amemuattack kwa habari zake kitenge anazozushaga. Yeye na Mkule walishawahi zusha Kagere kapigana na Sven.
Maulidi kitenge angekua ana uhakika wa habari aliyoisema angeithibitishia umma ili sasa umma umtetee. Yeye kaenda kumu attack Manara kua anajikomba, hana pesa kazi yake ni kufitinisha ili apate ugali. Hapo ndipo nilipomuona kua Kitenge hiyo habari amezusha. Maana angekua na uhakika na hiyo habari angethibitisha ili Manara aumbuke na jamii iendelee kumuamini.
Manara anajua Simba na Yanga ni watani ndo maana anatania brand ya yanga. Mbona nyie Yanga mmeitania sana brand ya Simba kua ni wamatopeni, Simba ni mikia. Huo ni utani wa Simba na Yanga.
Kitenge kama ana uhakika na hiyo habari athibitishe maana hiyo sio tetesi
Utopolo akili zao zinafanana ndio maana Eymael aliwapa za uso, Kitenge anapoongea uzushi wake mnamwona wa maana sana ila akipewa za uso mnalalamikq.
Hivi amewahi kuiongelea jambo lolote baya upotolo? Ila kutwa anazusha maneno ya uzushi Simba acheni kutetea ujinga.
Kaambiwa alifikuzwa redio one kwa kudondosha hirizi mwacheni yeye ajibu sio mumujibie, kuna tuhuma nyingi juu yake ila wengine kwa ustaarabu hatuzizungumzi lakini yeye ndio anajifanya anajua kila kitu.
Mwacheni dawa imuingie tumemvumilia muda mrefu sasa mambo ni hadharani atafute pa kujificha.
Muulize manaraKwani hizo tetesi zina shida gani?
Sio wabongo utopolo ndio maana Eymael aliwapa za usoKo hizo ni tetesi za usajili?
Nani anasajiliwa hapo? Ila wabongo.......aseee
Shekh tuambie tatizo nini kwenye habari hiii
Wewe unamuona yuko sahihi?! Huyu Manara waandishi wakiendelea kumchekea atawapanda vichwani! Wakipatikana kina Maulidi kama wa5 hivi lazima huyu zungu atanyooka!Unaweza uweza ukaa ujui au una akili kabsa, Tofautisha tetesi na habari. Siwezi kusema Fasiliteta amekunya adhalani afu nikasema ilikua tetesi. Ulishawahi ona tetesi inasema Morrison hajasafiri kisa kagombana na Kocha wake? Afu unakuja kusema ni tetesi.
Manara kawashida akili wengi sana. Manara amemuattack kwa habari zake kitenge anazozushaga. Yeye na Mkule walishawahi zusha Kagere kapigana na Sven.
Maulidi kitenge angekua ana uhakika wa habari aliyoisema angeithibitishia umma ili sasa umma umtetee. Yeye kaenda kumu attack Manara kua anajikomba, hana pesa kazi yake ni kufitinisha ili apate ugali. Hapo ndipo nilipomuona kua Kitenge hiyo habari amezusha. Maana angekua na uhakika na hiyo habari angethibitisha ili Manara aumbuke na jamii iendelee kumuamini.
Manara anajua Simba na Yanga ni watani ndo maana anatania brand ya yanga. Mbona nyie Yanga mmeitania sana brand ya Simba kua ni wamatopeni, Simba ni mikia. Huo ni utani wa Simba na Yanga.
Kitenge kama ana uhakika na hiyo habari athibitishe maana hiyo sio tetesi
Manara ni mtu wa hovyo unadhani ana majibu ya hili? Ni miongoni mwa wanadamu wajinga zaidi katika ukanda huu wa Afrika mashariki na katiMuulize manara
Subiri kwa yanga atashikishwa adabu,soon kesi inarindima mahakamaniNafikiri kwa Sasa Kuna haja aelezwe ukweli na si kuhofia kumnyanyapaa kisa ngozi yake. Anagombana na waandishi wengi na yeyote atakaye isema Simba ilimradi kwa kulinda ugali wake. Mbaya Zaidi anaingilia mpaka kwenye personal life na kumuharibia mtu image yake ndani ya jamii. Ukirudi kwa upande wake yeye ni namba moja kuongea atakalo kwa wenzie.
Waandishi wa habari wasipokua makini watashikwa mpaka kalio na huyo jamaa ili tu alinde ugali wake.
Sijawahi ona dunia nzima club inakutana na tetesi au habari ya uzushi Kisha wakaanza kumuattack mwandishi, Tena waandishi wa kule na wafanyakazi wa sekta za Michezo Wala hawafichagi ushabiki wao ktk team lakini hutoona akiattackiwa kwa ajili ya habari anayotoa.
Ethics za uandishi wa habari hana huyu Manara na hata viongozi wa Simba walijua muda tu basi ni ule ubwatukaji wake wenye lengo la kujipatia kula ndio wanaona waache.
Duniani yeye ndo msemaji pekee mwenye kuongelea club zingine na kuacha ya kwake, Ni yeye pekeee ndio anakubali tetesi za kuisifia Team yake tu na si negativity yake, Ni yeye pekeee ndio anajiona msemaji wa team na wengine sio wasemaji.
Mkimchekea Mbwa ipo siku atakufata mpaka mskitini.
Hahahahahahahahah.....Mlidanganywa kesi ya Morisson ipo CAS na nyie mkakubali, This time Mwakalebela kawadanganya kwa Manara bado mnakubali tu.Subiri kwa yanga atashikishwa adabu,soon kesi inarindima mahakamani
Soma hapo ndo mzozo ulipoanzia
Kumbe manara anatoa "mbolea' hahahaaaMzee tozi alimfanya kitu mbaya Haji
Hapo ndo umepiga mkwala mwenyewe.Kitenge tulia dawa ikuingie, we si unjifanya bingwa wa uzushj na fitna tulia sasa mpka maji utaita mmaa!
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app