Manara this is too much

Sababu zipo nyingi sana sheikh

Ukiona hivo ujuwe anayeongelewa ana historical profile mbovu kwa wengine
Tulitakiwa tumjibu hoja yake,
Kwenye hili sijaona kosa la Manara. Ila Kitenge angekua ana uhakika wa habari angeithibitisha ili tumuone Manara ni mbwatukaji tu. Sasa kitenge badala ya kuthibitisha anaenda kumu attack Manara kua anajikomba kwa mabosi ndo anavyoishi mjini.
Ndio maaana Manara naye akataja mambo yake binafsi.
Kuna post umesema anahusianisha. Siwezi kuhusianisha kwa kusema adolay ana ugomvi na Payrol ndio maana adolay hajamjuisha kwenye kikosi. Kwanza ilivyo kaa sio tetesi, pili je, kweli hao watu wana ugomvi?
Haina mana kua hawawezi kugombana, wao hawajawai kusema kua Gomezi ana ugomvi na Morrison wala hata kitenge ameshindwa kuleta ushahidi. Sasa nani mwenye hoja kati ya Marana na Kitenge.
Tusimhukumu mtu kwa hisia tuangalie hoja.
 

Sasa Mkuu hoja ipi?

Hivi nini kilichomfanya manara kumshambulia kitenge?

Ni hii habari au kunajengine?

 
Huyo Manara na wote wanaomsapoti katika hili ni binaadamu wajinga zaidi kuwahi kutokea katika ulimwengu wa soka
 
Utopolo akili zao zinafanana ndio maana Eymael aliwapa za uso, Kitenge anapoongea uzushi wake mnamwona wa maana sana ila akipewa za uso mnalalamikq.
Hivi amewahi kuiongelea jambo lolote baya upotolo? Ila kutwa anazusha maneno ya uzushi Simba acheni kutetea ujinga.
Kaambiwa alifikuzwa redio one kwa kudondosha hirizi mwacheni yeye ajibu sio mumujibie, kuna tuhuma nyingi juu yake ila wengine kwa ustaarabu hatuzizungumzi lakini yeye ndio anajifanya anajua kila kitu.
Mwacheni dawa imuingie tumemvumilia muda mrefu sasa mambo ni hadharani atafute pa kujificha.
 

Shekh tuambie tatizo nini kwenye habari hiii

 
Wewe unamuona yuko sahihi?! Huyu Manara waandishi wakiendelea kumchekea atawapanda vichwani! Wakipatikana kina Maulidi kama wa5 hivi lazima huyu zungu atanyooka!
 
Subiri kwa yanga atashikishwa adabu,soon kesi inarindima mahakamani
 
Subiri kwa yanga atashikishwa adabu,soon kesi inarindima mahakamani
Hahahahahahahahah.....Mlidanganywa kesi ya Morisson ipo CAS na nyie mkakubali, This time Mwakalebela kawadanganya kwa Manara bado mnakubali tu.
 

Soma hapo ndo mzozo ulipoanzia
Sasa mbona ishu yenyewe ni ya kawaida sana! Na alichokifanya huyo Kitenge kuchokoza tu mjadala. Usikute alicho kiandika kina ukweli!

Sasa iweje mashabiki na huyo kichwa maji wao Haji Manara watokwe na povu lisilo na kipimo!! Mimi nilidhani kuna tatizo kuubwa!! Kumbe ni upuuzi tu. Mbona kila siku Yanga inasemwa lakini wanacho fanya viongozi, ni kukanusha tu hizo taarifa za upotoshaji!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…